Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010408.UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA UMOJA WA MATAIFA WA UADILIFU KWA WAFANYA BIASHARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Washiriki wa mkutano wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.