Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960307.UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA UMOJA WA MATAIFA WA UADILIFU KWA WAFANYA BIASHARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya Viongozi na Washiriki wa mkutano wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika Januari 19,2016, nje ya ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.