Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962138.MAMA SAMIA ASHIRIKIA KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWA MWILI WA LETICIA NYERERE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa, wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa Marehemu Msasani Dar es salaam leo Januari 21, 2016.


 

<< Back to News Archive.