Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962187.MAMA SAMIA ASHIRIKI KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWA MWILI WA LETICIA NYERERE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulia na Rais mstaafu Dkt. Jakaya M Kikwete, wakizungumza walipokutana leo Januari 20, 2016  Msasani Dar es salaam kwenye shuhuli  ya kuaga Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.


 

<< Back to News Archive.