Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010380.WADAU WA MAZINGIRA WASHIRIKIANA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Ngosi Mwihava,  akiwa kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano wa  Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi  walipokutana  jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili  Changamoto zinazowakabili pamoja na kuzipatia utatuzi wake.


 

<< Back to News Archive.