Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Ngosi Mwihava, akiwa kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi walipokutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili Changamoto zinazowakabili pamoja na kuzipatia utatuzi wake.
|