Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955789.WADAU WA MAZINGIRA WASHIRIKIANA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO

Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Ngosi Mwihava ( katikati), wa kwaza  kushoto  ni Mkurugenzi  Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Muyungi,  akifuatiwa na Mkurugenzi  wa I dara hiyo, Dk.  Julius Ningu, wa kwanza kulia ni  Afisa Miradi wa  Forum Climate Change, Faza Issa akifuatiwa  na Mwenyekiti  wa Mtandao wa Asasi zisizo za Kiserikali zinazoshughulikia Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi, Bi Euster  Kibona wakiwa kwenye Mkutano wa kujadili Changamoto zinazowakabili ikiwemo na kuzipatia utatuzi.              


 

<< Back to News Archive.