Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962164.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA MISRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Misri Nchini Mhe. Mohamed Yasser Elshawaf wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 21, 2016 ambapo kwenye mazungumzo yao walizungumzia umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kwenye sekta ya Kiuchumi, Usafirishaji, Kilimo, na Elimu baina ya Nchi mbili hizi.


 

<< Back to News Archive.