Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962132.MAKAMU WA RAIS AUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA AFRIKA ETHIOPIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea shada la Maua kutoka kwa Mtoto Yuthra Bawaid alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Bolo Nchini Ethiopia leo Januari 30, 2016 kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 26 kwa Wakuu wa Nchi za Afrika unaoanza leo mjini Addis Ababa Ethiopia


 

<< Back to News Archive.