Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954758.MAKAMU WA RAIS AUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA AFRIKA ETHIOPIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifuatilia kwa Makini mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi za Afrika ulioanza leo Mjini Addis Ababa Ethiopia. 


 

<< Back to News Archive.