Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962173.MAKAMU WA RAIS MHESHIMIWA SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA AFRIKA KUHUSU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata walipokutana kwenye Ukumbi wa Mikutano  wa  Ofisi ya Umoja wa Afrika (AU), jijini Addis Ababa Ethiopia, Viongozi hao wanahudhuria Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaojadili masuala ya Usalama Barani Afrika ambapo Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais,  John Magufuli kwenye mkutano huo.  


 

<< Back to News Archive.