Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010389.CRDB WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS OFISINI KWAKE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki hiyo Dkt. Charles Kimei wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.


 

<< Back to News Archive.