Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962169.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UONGOZI WA BENKI YA POSTA TANZANIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati  akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam  Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.(Picha na OMR)


 

<< Back to News Archive.