Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955771.ZIARA NAIBU WAZIRI ZANZIBAR

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina na Ujumbe wake, wakitokea eneo la Chokocho Pemba kuelekea kisiwa Panda kutembelea Miradi ya Muungano ya kujengea uwezo jamii za Pwani kuhimili athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupanda miti ya mikoko na kujengea ukuta katika baadhi ya maeneo ya pwani.


 

<< Back to News Archive.