Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954776.ZIARA YA NAIBU WAZIRI ZANZIBA

  Ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya  Makamu wa Rais Mungano na Mazingira Mh.  Luhaga Mpina, Mjini Unguja wiki hii katika ziara ya kutembelea miradi ya Muungano, ya kujengea uwezo jamii ya watu wa pwani kuhimili athari zitokanano na mabadiliko ya tabia nchi.


 

<< Back to News Archive.