MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA PROGRAMU YA MWANAMKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Hotel Dar es salaam Februari 24,2016.