Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3781090.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KUWAIT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam,kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha na OMR)


 

<< Back to News Archive.