Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010317.WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEWA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba atembelewa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania, Bw. Jasem Al-Najem kwa ajili ya kujitambulisha na kujadili masuala ya Hifadhi ya Usimamizi Mazingira 


 

<< Back to News Archive.