Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776557.TANZANIA KUSHIRIKIANA NA NCHI ZA AFRIKA KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Siku ya Mazingira Barani Afrika inayofanyika kila tarehe 3 ya Mwezi Mach.


 

<< Back to News Archive.