Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957090.MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIRA TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Tanga baada ya kupokea Taarifa ya Mkoa huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Mwantumu Mahiza


 

<< Back to News Archive.