Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962216.MH. LUGAHA MPINA AAHIDI MICHE 7000 YA MITI

Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Simiyu (wanne kutoka kushoto waliosimama) Mh. Luhaga Mpina Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira wakiangalia ngoma za asili katika ziara ya Waziri Mkuu mkoani Simiyu. Katika ziara hiyo Mh. Luhaga Mpina aliahidi miche elfu saba (7000) ya miti aina mbalimbali kwa ajili ya Wilaya za Mkoa wa Simiyu ili kunusuru Mkoa huo kuingia katika hali ya jangwa.


 

<< Back to News Archive.