Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954773.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAZIRI UMMY MWALIMU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam


 

<< Back to News Archive.