Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955732.WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA UWAMITA OFISINI KWAKE

 .Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba akiangalia baadhi ya sampuli za mifuko isiyoharibu mazingira ambayo inatengenezwa na Umoja wa Watengeneza mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) Kulia  ni Mwenyekiti wa kikundi hiko Jumanne Mgude


 

<< Back to News Archive.