Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776519.MH.JANUARY MAKAMBA ATEMBELEWA NA MABALOZI OFISINI KWAKE

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake kuzungumzia masuala ya mazingira na mashirikiano ya Nchi hizo mbili


 

<< Back to News Archive.