Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010351.MH.JANUARY MAKAMBA ATEMBELEWA NA MABALOZI OFISINI KWAKE

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea na Balozi wa Ufaransa Nchini Bi. Malika Berak alimpomtembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu pamoja na Afisa toka ubalozi wa Ufaransa


 

<< Back to News Archive.