Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954763.MH.JANUARY MAKAMBA ATEMBELEWA NA MABALOZI OFISINI KWAKE

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akichanganua jambo wakati akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan, Masaharu Yoshida alimpomtembelea Waziri Ofisini kwake kuzungumzia na kushauriana juu ya programu ya kuteketeza taka hapa Nchini


 

<< Back to News Archive.