Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955778.MH.JANUARY MAKAMBA ATEMBELEWA NA MABALOZI OFISINI KWAKE

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwasikiliza kwa makini Wageni kutoka The Giants Club Keith Roberts (wa kwanza kulia) na mwingine kutoka Michael Foundation Jean du Plessis (katikati). Ujumbe huo ulimtembelea Waziri Makamba Ofisini kwake kujadili masuala ya mazingira


 

<< Back to News Archive.