Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957101.MAKAMU A RAIS ATEMBELEWA NA UJUMBE TOKA KOREA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea ratiba ya mpango wa maendeleo wa Jumuiya ya GLOBAL SAEMAUL UNDONG kutoka kwa Profesa Choi Oe Chool Rais wa GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK ya Jamhuri ya Korea.


 

<< Back to News Archive.