Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010347.MAKAMU WARAIS ATEMBELEWA NA UJUMBE TOKA KOREA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Profesa Choi Oe Chool Rais wa GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK ya Jamhuri ya Korea, Wakati Rais huyo na Ujumbe wake alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam


 

<< Back to News Archive.