Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957058.MH.MAKAMBA AKUTANA NA MWANAHARAKATI WA MAZINGIRA OFISINI KWAKE

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba (kushoto) akisalimiana na Dkt Mohammad Shaban,(kulia) Kutoka Hosptali ya Hindu-Mandal ambaye pia ni Mwanaharaki wa Mazingira alipowasilisha kitabu chake cha masuala ya usimamizi na utunzaji wa mazingira kitabu kinachoitwa (The quest for a greener cleaner, better and peaceful world) Ofisini kwa Waziri Makamba, Mtaa wa Luthuli JIjini Dar es Salaam 


 

<< Back to News Archive.