Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957076.MH.MAKAMBA AKUTANA NA MWANAHARAKATI WA MAZINGIRA OFISINI KWAKE

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira Mh. January Makamba (Kushoto) akiangalia kitabu kinachohusu masuala ya utunzaji na usimamizi wa mazingira cha (The quest for a greener cleaner, better and peaceful world) Ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo, (kulia) ni mwandishi wa kitabu hicho Dkt. Mohammed Shaban kutoka hosptali ya Hindu-Mandal ambaye pia ni mwanaharakati wa Mazingira


 

<< Back to News Archive.