Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957114.MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kula Kiapo cha Utii mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.