Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962183.NAIBU WAZIRI MH.LUHAGA MPINA ASHIRIKI USAFI WA MAZINGIRA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina Kulia Akifyeka, katika Mtaa wa TPDC Mikocheni Jijini Dar es Salam leo kutekeleza agizo la Mh. Raisi la kufanya usafi, ambapo serikali imetenga kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi kuwa siku maalum ya usafi.


 

<< Back to News Archive.