Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962211.NAIBU WAZIRI MH.LUHAGA MPINA ASHIRIKI KUFANYA USAFI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina, akifanya usafi katika mtaro wa maji machafu katika mtaa wa TPDC, maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa siku ya usafi jumamosi ya mwisho wa mwezi


 

<< Back to News Archive.