Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010337.NAIBU WAZIRI MH.LUHAGA MPINA ASHIRIKI KUFANYA USAFI

Kulia Bi Blandina Cheche Afisa Mazingira mkuu, na katikati Mkururugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na usimamizi wa mazingira NEMC Bw. Boniventure Baya wakifanya usafi kwa pamoja katika mtaa wa TPDC, Mikocheni Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la serikali, la kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi la kufanya usafi wa mazingira


 

<< Back to News Archive.