Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960341.KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA MIRADI YA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akinyoosha mkono kuonesha Mradi wa Kingo za Fukwe kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi wakati Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ilipotembelea  Mradi huo.


 

<< Back to News Archive.