MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA SHERIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Ndugu Amon Mpanju wakati Naibu Mpanjo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam.