Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010412.NAIBU WAZIRI MH.LUHAGA MPINA ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI MKOA WA PWANI

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akitoa maelekezo kwa Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya  Maliasili na Utalii Injinia Angelina Madete( katikati) kuhusu upandaji miti katika sehemu mbalimbali katika hifadhi ya misitu kibaha Mkoani Pwani,mapema hii leo katika siku ya upandaji miti.


 

<< Back to News Archive.