Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957051.NAIBU WAZIRI MPINA ATOZA FAINI KIWANDA CHA KARATASI MUFINDI

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira akitoa maelekezo kwa uongozi wa kiwanda cha Sao Hill and Green Resources Limited, wa namna ya kuondosha taka za nguzo (hazipo pichani) zilizozagaaa katika eneo la kiwanda hicho..alipofanya ziara ya viwanda, ukaguzi wa usafi wa mazingira na kupanda miti Mkoani Iringa 


 

<< Back to News Archive.