Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957069.MAKAMU WA RAIS KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA UFUNGZUI WA KONGAMANO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake waliohudhuria Kongamano la Wanawake katika Uongozi linalojadili kuendeleza Mazingira kuwezesha kuinua Wanawake ambao bado hawajapata fursa kufikia nafasi za Uongozi. Kongamano hilo lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi limefanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere


 

<< Back to News Archive.