Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010335.MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefungua Kongamano la Uwekazaji kwa Wafanyabiashara baina ya Tanzania na Oman kuhusu kuangalia fursa za uwekezaji katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi kati ya Nchi mbili hizo, Kongamano hilo limefunguliwa leo April 13,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regence Dar es salaam


 

<< Back to News Archive.