Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776443.WASHIRIKI WA KONGAMANO WAKIMSIKILIZA MAKAMU WA RAIS

Washiriki wa Kongamano la Uwekezaji kiuchumi kati ya Tanzania na Oman wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokua akifungua Kongamano hilo kuhusu kuangalia fursa za uwekezaji katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi baina ya Nchi mbili hizo, Kongamano hilo limefunguliwa katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.