Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957055.WAZIRI MAKAMBA AHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA MAZINGIRA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akifungua warsha ya wadau wa Mazingiar wa ndani na nje ya Nchi iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais juu ya kujadili jinsi Wafadhili wanavyoweza kusaidia Ofisi katika kuimarisha mambo mbalimbali ya mazingira


 

<< Back to News Archive.