Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954787.KAMATI YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA YAPITIA MAKADIRIO YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mbaraka Abdul Wakili, Naibu Waziri Luhaga Mpina na Eng. Ngosi Mwihawa, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.


 

<< Back to News Archive.