Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957083.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua mkutano wa Biash

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa kwanza unaojadili Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii. Mkutano huo ulioandaliwa na AFRIKA SUSTAINABLE BUSINESS umefunguliwa Leo April 14,2016 katika Hoteli ya Hyatt jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.