Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955759.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta na Afisa Mtendaji

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa AFRIKA SUSTAINABLE BUSINESS Bw. Raymond Mubayiwa kabla ya kufungua mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii. Mkutano huo umefunguliwa Leo April 14,2016 katika Hoteli ya Hyatt jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.