Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010399.MAKAMU WARAIS AKISALIMIANA NA RAIS WA SUDANI KUSINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir alipowasili Ikulu kwa ajili ya kutia kusani mkataba wa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki Leo April 15,2016.


 

<< Back to News Archive.