Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955776.MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MOROGORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro April 17,2016, wakati alipowasili Hospitalini hapo kwa ajili ya kuangalia huduma zinazotolea kwa Jamii katika Hospitali hiyo. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. kulia Daktari Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dr. Rita Lyamuya


 

<< Back to News Archive.