Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960325.MAKAMU WA RAIS AKABIDHI HUNDI YA SH. MILIONI KUMI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi hundi ya shilingi Milioni 10 kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha vijana cha Mafundi Seremala (Kimasemo) Habibu Said zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Azizi Aboud kwa ajili ya kuendeleza utendaji wa kiwanda hicho. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.


 

<< Back to News Archive.