Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776818.MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasha Mwenge wa Uhuru kuzindua rasmi mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2016 leo Aprili 18, 2016 sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Kulia ni Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto - Zanzibar Mhe. Modelin Kastiko.


 

<< Back to News Archive.